Monday, January 27, 2014

LANGUAGES


        Lugha - Language

  • kijerumani – German
  • Kiswahili – Swahili
  • kiingereza – English
  • kihispania – Spanish
  • kichina – Chinese
  • kireno – Portuguese
  • kifaransa – French
  • kiswede – Swedish
  • kinorway – Norwegian
  • Kifini – Finnish
  • kialbania – Albanian.
  • kiitaliano – Italian
  • kiarabu – Arabic
  • kijapani – Japanese.
  • kikorea – Korean
  • kihindi – Hindi


mifano ya sentensi – sentence examples.


1. Aakash anazungumza kihindi – Aaakash speaks Hindu.

2. Ninakwenda Norway – I am going to Norway.

3. Albania ni nchi ndogo – Albania is a small country.

4. Sitakwenda Korea  - I won’t go to Korea.

5. Sijui kifaransa – I don’t know French.

6. Ongea kwa kiingereza – Speak in English.

7. Nataka gari la kijapani – I want a Japanese car.

8. China ni nchi kubwa sana. – China is a very huge country.

9. Mayanja hatakwenda Ufini - Mayanja is not going to Finland.


QUIZ

1.  Sijui kijerumani - _____________

2.  Ureno ni nchi kubwa sana - _____________

3.  Ongea kwa kichina - _________________

4.  Najua kireno - _______________

5.  Nataka gari la kiafrika - _______________

No comments:

Post a Comment