Saturday, June 29, 2013

COLOURS



Nyekundu – red

Njano – yellow

Bluu – blue

Kijani – green

Zambarau – purple

Nyeusi – black

Kuku – hen

……………………………………………………………………………..

1.  kuku mweupe- white hen

2. gari jeusi- blckish car

3.  kioo cha njano- yellow glass

4. Chuma cha bluu – bluish iron

5. Mpira mwekundu – red ball

6. Mbao za bluu – blue timber

7. Matunda ya njano – yellow fruits

8. Ng’ombe weusi – black cow

9. Suruali nyeupe – white trousers

10. Mawingu ya bluu – blue clouds

11. Maji mekundu – reddish water

12. Shati la kijani - green shirt

QUIZ

1. Shati la njano - .................................

2. Matunda meusi - ...............................

3. Mawingu meupe - ...............................

Monday, June 24, 2013

MIXED GRILL - 1


swahili - english

wewe -you
mimi - I
yule - that
yeye - him/her


Some sentences

1. nakupa wewe - I give you

2. namuhitaji yule - I need him/her

3. yeye hawezi kuja - he/she cannot come

4. mimi nitakwenda sokoni - I will go to the market

5. mimi na yeye tutacheza mpira wa miguu - I and him/her will play soccer

6. simjui yeye - I don't know him/her

7. Msaidie huyo kijana - Help that boy

8. Mchukue yule mtoto - Take that child


Monday, June 3, 2013

TRANSPORT-1



SWAHILI - ENGLISH


  1. Gari – vehicle
  2. Dereva – driver
  3. Barabara – road
  4. Njia ya miguu – pavement
  5. Epuka - avoid
  6. nunua - buy
  7. ajali - accident


…………………………………………………………..

Here are some sentences


  • Gari langu – my car
  • Nakwenda gereji – I am going to the car garage
  • Gari lako – your car
  • Barabara kuu -  main road
  • Hii ni kona kali – that is a very sharp corner



  • Usipite barabara hii – don’t pass on this road
  • Gari langu limegongwa – my car has been crashed
  • Epuka ajali – avoid accidents
  • Zingatia alama za barabarani – observe road signs
  • Askari wa usalama barabarani – traffic police
  • Endesha kuelekea mtaa unaofuata – drive towards the next street.



  • Ajali nyingi – many accidents
  • Ajali mbaya – deadly accident
  • Endesha kwa uangalifu – drive carefully
  • Washa indiketa – switch on the indicators
  • Funga breki – press the brake pedal
  • Gari linapita - The car is passing.



  • Ongeza mwendo – increase the speed
  • Endesha kwa kasi - Drive fast
  • Lipite gari la mbele – overtake the front car
  • Endesha lori - Drive the lorry 
  • Nimenunua gari – I have bought a car.



  • Nitumie spea- send me a spare part
  • Tawala usukani – control the sterling
  • Badili gia – change the gear
  • Gia boksi hii ni nzima – this gear box is effective
  • Gari la mizigo – cargo vehicle
  • Pakia mzigo wako garini – put your luggage on the car


TODAY’S PROVERB

Mwenda pole hajikwai – a person who goes slowly does not stumble.

QUIZ

Punguza mwendo - ..........................................

Gari lake - ..........................................





Saturday, June 1, 2013

FOOD AND DRINK

ENGLISH - SWAHILI

    wash – osha/nawa 
    hands  - Mikono
    food-chakula
    Cooking – kupika
    boil – chemsha
    Cook – pika
    drink  – Kinywaji

    sweet- tamu
    fruits – matunda
    I want–nataka  
    fruit – tunda
    sweetness – utamu
    afterwards – baadaye
    nutrition - virutubisho


SWAHILI - ENGLISH

chakula hiki ni kitamu – This food is very delicious.
Chakula chenye virutubisho – nutritious food
Tafadhali naomba chakula – Please, give me some food
Nitapata wapi kinywaji? – where can I get a drink?

Nitapata wapi matunda?- where can I get some fruits?
Nipe matunda- bring me some fruits.
Hapa hakuna chakula – There is no food here
Matunda ya leo ni mazuri sana- today’s fruits are so sweet.

Njoo baadaye - Come afterwards.
Nitakula baadaye -  I will eat afterwards.
Chakula kiko wapi? – where is food?
Umekula? – Have you eaten?

Umenawa mikono? – Have you washed your hands?
Nataka kuchemsha chai – I want to boil some tea.
Nataka kupika samaki – I want to cook some fish.
Sitapika chochote – I won’t cook anything.

QUIZ

Nitakula chakula - .......................................

Nipe chakula - ..........................................