Monday, October 21, 2013

COUNTING


ENGLISH - SWAHILI

  • One - Moja 
  • Two - Mbili
  • Three - Tatu
  • Four - Nne
  • Five - Tano
  • Six - Sita
  • Seven - Saba
  • Eight - Nane
  • Nine - Tisa
  • Ten - Kumi
  • Eleven - Kumi na moja
  • Twelve - Kumi na mbili
  • Thirteen - Kumi na tatu
  • Fourteen - Kumi na nne
  • Fifteen - Kumi na tano
  • Sixteen - Kumi na sita
  • Seventeen - Kumi na saba
  • Eighteen - Kumi na nane
  • Nineteen - Kumi na tisa
  • Twenty - Ishirini

  MIFANO - EXAMPLES

1.  Watu ishirini wamekuja - twenty people have come

2.  Mtu mmoja aje - One person should come

3.  Watu nane watafika - Eight people will arrive

4.  Watu watano wamekufa - Five people have died

5.  wanafunzi kumi na saba wanaumwa. - Seventeen students are sick

6.  Walimu sita wanahitajika. - Eight teachers are needed

7.  Magari matatu yameibiwa - Three cars have been stolen

8. Vitabu tisa havipo. - Nine books are missing

9.  Visosi viwili vimevunjika - Two saucers have been broken.

10. Vitabu vitatu vimechukuliwa - Twoo books have been taken

11. Nina watoto saba - I have seven children

12.  Una mipira miwili - You have two balls.




No comments:

Post a Comment