ENGLISH - SWAHILI
money-pesa/fedha
bear-dubu
all-everything
rent - kodi
chew-tafuna
swallow-meza
refrigerator-jokofu
I don't like - sipendi
take - chukua
eat - kula
take - chukua
eat - kula
;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
SENTENCES -SENTENSI
1. I can't swallow this meat - Siwezi kumeza hii nyama
2. I hate fighting - sipendi ugomvi
3. I have not paid the rent - Sijalipa kodi
4. take all - Chukua vyote
5. All my money went for food and rent
- Fedha yangu
yote ilitumika kununua chakula na kodi ya nyumba.
6. Bears must eat a lot of food before they hibernate in their
caves
-Dubu hula chakula
cha kutosha kabla ya kurudi tena mapangoni mwao.
7. Chew your food and don't swallow it! - Tafuna chakula na
usimeze.
8. Chinese food - Chakula cha kichina
9. Freeze the leftover food - Weka chakula kilichobaki kwenye
jokofu.
10. I hate Mexican food - Sipendi chakula cha ki-mexico
11. I love French food - Napenda chakula cha kifaransa.
1. I love Mexican food - ..............................................................
2. I hate French food - ..................................................................
3. Take the Chinese food - ...............................................................
No comments:
Post a Comment