Friday, April 3, 2015
MIXED GRILL - 3
SWAHILI - ENGLISH
1. Nipe mkate - Give me a bread.
2. Nipe ruhusa - Give me a permission.
3. Nipe ufunguo - Give me a key.
4. Sihitaji chakula - I don't need food.
5. Sihitaji maji ya kunywa - I don't need drinking water.
6. Sihitaji kwenda hospitali - I don't need to go to the hospital.
7. Nisamehe kwa kuchelewa - Forgive me for being late.
8. Nisamehe kwa kuharibu radio - Forgive me for destroying a radio.
9. Nisamehe kwa kudondosha bakuli - Forgive me for dropping down a bowl.
10. Nisamehe kwa kutokuja - Forgive me for not coming.
;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
QUIZ
1. Sihitaji ufunguo -----------------------------------
2. Nisamehe kwa kuharibu chakula. ------------------------------------------
3. Sihitaji ruhusa ------------------------------------------
4. Nipe maji ya kunywa --------------------------------------------
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment