Chako –
yours(plural)
Yako –
yours(singular/plural)
Vyako –
yours(plural)
Lako –
yours(singular)
Zako –
yours(plural)
Chao - theirs(singular)
Yao - theirs(singular/plural)
Zao - theirs(plural)
Chake – his/hers/its(singular)
Yake – his/hers/its(singular/plural)
Vyake - his/hers/its(plural
Lake – his/hers/its(singular)
Zake – his/hers/its
(plural)
;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
1. Kiti chako –
your chair
2. Bustani yake
– His/her garden
3. Nywele zake –
His/her hair
4. Elimu yangu –
my knowledge
5. Kichwa changu
– my head
6. Nyumba yangu
– my house
7. Dirisha langu
– my window
8. Kazi zao –
their jobs
9. Magari yao –
their cars
10. Mkia wake –
its tail
11. Ngozi yake –
its/her/his skin
12. Ngozi yao –
their skin
13. Mipango yao –
their plans
;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;
14. Rangi yake
ni nzuri – his/her/its colour is good.
15. Mipango yao
haikufanikiwa – their plans did not succeed
16. mtoto wake
anaumwa – his/her child is sick
17. kaka yake
anakuja – his/her brother is coming
18. timu yao
imeshindwa – Their team is defeated
19. Taifa lao ni
kubwa sana – Their nation is very huge.
20. Mkia wake ni
mfupi – Its tail is short
QUIZ
1. Mtoto wao - …………………………………..….
2. Shangazi
yake - …………………………………….
3. Taifa letu -
………………………………………..
4. Rangi yao - ………………………………………
5. Timu yetu - ………………………………………
6. Timu yetu ni
nzuri - ………………………………
No comments:
Post a Comment