1. Mjini – Town
2. Twende – Let us go
3. Uhakika – assurance
4. Njaa – hunger
5. Baadaye - afterwards
6. Kiu – thirsty
7. Matatizo – problems
8. Mzee – old man or old woman
…………………………………………………………
MIFANO - EXAMPLES
1. Kuna foleni mjini – there is a traffic jam in town
2. Twende hotelini – Let us go to the hotel
3. nitakuja kesho– I will come tomorrow
4. Sina uhakika – I am not sure
5. Njoo hapa – come here
6. Nenda kule – go there
7. Nenda sokoni – go to the market
8. Sitakusindikiza leo – I won’t escort you today
9. Naweza kufanya – I can do it
10. Nasikia njaa – I feel hungry
11. Nasikia kiu – I feel thirsty
12. Sina matatizo – I don’t have any problem
13. Baba yangu ni mzee – My father is very old
14. Mama yupo jikoni – Mummy is in the kitchen
15. Nasikia baridi – I feel cold
………………………………………………………………………..
TODAY'S PROVERB
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu - He/She who do not hear the words of an adult, will break his/her leg
QUIZ
1. Mama yangu ni mzee - ……………………………
2. Baba yupo jikoni - ……………………………….
3. Nitakuja baadaye - …………………………….
4. Nenda mjini - ………………………………….
No comments:
Post a Comment