Wednesday, July 24, 2013

The words THINK and GOOD



The words think and good are used several times in English. This applies equally to Kiswahili language as well. Try these examples below.

ENGLISH - SWAHILI

1. I think it's time for me to leave – Nadhani huu ni muda wa kuondoka 

2. Do you really think that it's bad? – Unafikiri hii ni mbaya?

3. Do you think that dress suits her?- Unadhani hilo vazi linamuenea?

4. I think he's Tina's older brother- Nafikiri huyo ni kaka mkubwa wa Tina.

5. I think it's time for me to study- Nadhani huu ni muda wa kusoma

6. I think my German isn't very good – Nafikiri kijerumani changu si kizuri sana

7. He's looking good – Ana mwonekano mzuri

8. I had a good idea – Nilikuwa na wazo zuri

9. I had a good time – Nilikuwa na wakati mzuri

10. I think it's time for me to play – Nadhani huu ni muda wa kwenda kucheza

11. Good morning, James – Habari za asubuhi Yakobo

12. He's a good person – Yeye ni mtu mzuri

13. I'm good at tennis – Ninaweza kucheza tenisi

14. That's a good idea! – Hilo ni wazo zuri!

15. They are both good – Wote wawili ni wazuri.

16. Kimei is a good cook – Kimei ni mpishi mzuri.



Wednesday, July 3, 2013

MIXED GRILL - 2

SWAHILI - ENGLISH


1. Mjini – Town

2. Twende – Let us go

3. Uhakika – assurance

4. Njaa – hunger

5. Baadaye - afterwards

6. Kiu – thirsty

7. Matatizo – problems

8. Mzee – old man or old woman

…………………………………………………………


MIFANO - EXAMPLES


1. Kuna foleni mjini – there is a traffic jam in town

2. Twende hotelini – Let us go to the hotel

3. nitakuja kesho– I will come tomorrow  

4. Sina uhakika – I am not sure

5. Njoo hapa – come here

6. Nenda kule – go there

7. Nenda sokoni – go to the market

8. Sitakusindikiza leo – I won’t escort you today

9. Naweza kufanya – I can do it

10. Nasikia njaa – I feel hungry

11. Nasikia kiu – I feel thirsty  

12. Sina matatizo – I don’t have any problem

13. Baba yangu ni mzee – My father is very old

14. Mama yupo jikoni – Mummy is in the kitchen

15. Nasikia baridi – I feel cold


………………………………………………………………………..


TODAY'S PROVERB

Asiyesikia la mkuu huvunjika guu - He/She who do not hear the words of an adult, will break his/her leg


QUIZ

1. Mama yangu ni mzee - ……………………………

2. Baba yupo jikoni - ……………………………….

3. Nitakuja baadaye - …………………………….

4. Nenda mjini - ………………………………….



OWNERSHIP


Chako – yours(plural)

Yako – yours(singular/plural)

Vyako – yours(plural)

Lako – yours(singular)

Zako – yours(plural)

Chao - theirs(singular)

Yao - theirs(singular/plural)

Zao -  theirs(plural)

Chake – his/hers/its(singular)

Yake – his/hers/its(singular/plural)

Vyake - his/hers/its(plural

Lake – his/hers/its(singular)

Zake – his/hers/its (plural)



;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;



1. Kiti chako – your chair

2. Bustani yake – His/her garden

3. Nywele zake – His/her hair

4. Elimu yangu – my knowledge

5. Kichwa changu – my head

6. Nyumba yangu – my house

7. Dirisha langu – my window

8. Kazi zao – their jobs

9. Magari yao – their cars

10. Mkia wake – its tail

11. Ngozi yake – its/her/his skin

12. Ngozi yao – their skin

13. Mipango yao – their plans



;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;



14. Rangi yake ni nzuri – his/her/its colour is good.

15. Mipango yao haikufanikiwa – their plans did not succeed

16. mtoto wake anaumwa – his/her child is sick

17. kaka yake anakuja – his/her brother is coming

18. timu yao imeshindwa – Their team is defeated

19. Taifa lao ni kubwa sana – Their nation is very huge.

20. Mkia wake ni mfupi – Its tail is short


QUIZ


1. Mtoto wao - …………………………………..….

2. Shangazi yake - …………………………………….

3. Taifa letu - ………………………………………..

4. Rangi yao - ………………………………………

5. Timu yetu - ………………………………………

6. Timu yetu ni nzuri - ………………………………