SWAHILI - ENGLISH
- Gari – vehicle
- Dereva – driver
- Barabara – road
- Njia ya miguu – pavement
- Epuka - avoid
- nunua - buy
- ajali - accident
…………………………………………………………..
Here are some sentences
- Gari langu – my car
- Nakwenda gereji – I am going to the car garage
- Gari lako – your car
- Barabara kuu - main road
- Hii ni kona kali – that is a very sharp corner
- Usipite barabara hii – don’t pass on this road
- Gari langu limegongwa – my car has been crashed
- Epuka ajali – avoid accidents
- Zingatia alama za barabarani – observe road signs
- Askari wa usalama barabarani – traffic police
- Endesha kuelekea mtaa unaofuata – drive towards the next street.
- Ajali nyingi – many accidents
- Ajali mbaya – deadly accident
- Endesha kwa uangalifu – drive carefully
- Washa indiketa – switch on the indicators
- Funga breki – press the brake pedal
- Gari linapita - The car is passing.
- Ongeza mwendo – increase the speed
- Endesha kwa kasi - Drive fast
- Lipite gari la mbele – overtake the front car
- Endesha lori - Drive the lorry
- Nimenunua gari – I have bought a car.
- Nitumie spea- send me a spare part
- Tawala usukani – control the sterling
- Badili gia – change the gear
- Gia boksi hii ni nzima – this gear box is effective
- Gari la mizigo – cargo vehicle
- Pakia mzigo wako garini – put your luggage on the car
TODAY’S PROVERB
Mwenda pole hajikwai – a person who goes slowly does not stumble.
QUIZ
Punguza mwendo - ..........................................
Gari lake - ..........................................
No comments:
Post a Comment