Saturday, June 1, 2013

FOOD AND DRINK

ENGLISH - SWAHILI

    wash – osha/nawa 
    hands  - Mikono
    food-chakula
    Cooking – kupika
    boil – chemsha
    Cook – pika
    drink  – Kinywaji

    sweet- tamu
    fruits – matunda
    I want–nataka  
    fruit – tunda
    sweetness – utamu
    afterwards – baadaye
    nutrition - virutubisho


SWAHILI - ENGLISH

chakula hiki ni kitamu – This food is very delicious.
Chakula chenye virutubisho – nutritious food
Tafadhali naomba chakula – Please, give me some food
Nitapata wapi kinywaji? – where can I get a drink?

Nitapata wapi matunda?- where can I get some fruits?
Nipe matunda- bring me some fruits.
Hapa hakuna chakula – There is no food here
Matunda ya leo ni mazuri sana- today’s fruits are so sweet.

Njoo baadaye - Come afterwards.
Nitakula baadaye -  I will eat afterwards.
Chakula kiko wapi? – where is food?
Umekula? – Have you eaten?

Umenawa mikono? – Have you washed your hands?
Nataka kuchemsha chai – I want to boil some tea.
Nataka kupika samaki – I want to cook some fish.
Sitapika chochote – I won’t cook anything.

QUIZ

Nitakula chakula - .......................................

Nipe chakula - ..........................................

No comments:

Post a Comment