Saturday, June 29, 2013
COLOURS
Nyekundu – red
Njano – yellow
Bluu – blue
Kijani – green
Zambarau – purple
Nyeusi – black
Kuku – hen
……………………………………………………………………………..
1. kuku mweupe- white hen
2. gari jeusi- blckish car
3. kioo cha njano- yellow glass
4. Chuma cha bluu – bluish iron
5. Mpira mwekundu – red ball
6. Mbao za bluu – blue timber
7. Matunda ya njano – yellow fruits
8. Ng’ombe weusi – black cow
9. Suruali nyeupe – white trousers
10. Mawingu ya bluu – blue clouds
11. Maji mekundu – reddish water
12. Shati la kijani - green shirt
QUIZ
1. Shati la njano - .................................
2. Matunda meusi - ...............................
3. Mawingu meupe - ...............................
Monday, June 24, 2013
MIXED GRILL - 1
swahili - english
wewe -you
mimi - I
yule - that
yeye - him/her
Some sentences
1. nakupa wewe - I give you
2. namuhitaji yule - I need him/her
3. yeye hawezi kuja - he/she cannot come
4. mimi nitakwenda sokoni - I will go to the market
5. mimi na yeye tutacheza mpira wa miguu - I and him/her will play soccer
6. simjui yeye - I don't know him/her
7. Msaidie huyo kijana - Help that boy
8. Mchukue yule mtoto - Take that child
Monday, June 3, 2013
TRANSPORT-1
SWAHILI - ENGLISH
- Gari – vehicle
- Dereva – driver
- Barabara – road
- Njia ya miguu – pavement
- Epuka - avoid
- nunua - buy
- ajali - accident
…………………………………………………………..
Here are some sentences
- Gari langu – my car
- Nakwenda gereji – I am going to the car garage
- Gari lako – your car
- Barabara kuu - main road
- Hii ni kona kali – that is a very sharp corner
- Usipite barabara hii – don’t pass on this road
- Gari langu limegongwa – my car has been crashed
- Epuka ajali – avoid accidents
- Zingatia alama za barabarani – observe road signs
- Askari wa usalama barabarani – traffic police
- Endesha kuelekea mtaa unaofuata – drive towards the next street.
- Ajali nyingi – many accidents
- Ajali mbaya – deadly accident
- Endesha kwa uangalifu – drive carefully
- Washa indiketa – switch on the indicators
- Funga breki – press the brake pedal
- Gari linapita - The car is passing.
- Ongeza mwendo – increase the speed
- Endesha kwa kasi - Drive fast
- Lipite gari la mbele – overtake the front car
- Endesha lori - Drive the lorry
- Nimenunua gari – I have bought a car.
- Nitumie spea- send me a spare part
- Tawala usukani – control the sterling
- Badili gia – change the gear
- Gia boksi hii ni nzima – this gear box is effective
- Gari la mizigo – cargo vehicle
- Pakia mzigo wako garini – put your luggage on the car
TODAY’S PROVERB
Mwenda pole hajikwai – a person who goes slowly does not stumble.
QUIZ
Punguza mwendo - ..........................................
Gari lake - ..........................................
Saturday, June 1, 2013
FOOD AND DRINK
ENGLISH - SWAHILI
wash – osha/nawa
hands - Mikono
food-chakula
Cooking – kupika
boil – chemsha
Cook – pika
drink – Kinywaji
sweet- tamu
fruits – matunda
I want–nataka
fruit – tunda
sweetness – utamu
afterwards –
baadaye
nutrition -
virutubisho
chakula hiki ni kitamu – This food is very delicious.
Chakula chenye virutubisho – nutritious food
Tafadhali naomba chakula – Please, give me some food
Nitapata wapi kinywaji? – where can I get a drink?
Nitapata wapi matunda?- where can I get some fruits?
Nipe matunda- bring me some fruits.
Hapa hakuna chakula – There is no food here
Matunda ya leo ni mazuri sana- today’s fruits are so sweet.
Njoo baadaye - Come afterwards.
Nitakula baadaye - I
will eat afterwards.
Chakula kiko wapi? – where is food?
Umekula? – Have you eaten?
Umenawa mikono? – Have you washed your hands?
Nataka kuchemsha chai – I want to boil some tea.
Nataka kupika samaki – I want to cook some fish.
Sitapika chochote – I won’t cook anything.
QUIZ
Nitakula chakula - .......................................
Nipe chakula - ..........................................
Nitakula chakula - .......................................
Nipe chakula - ..........................................
Subscribe to:
Posts (Atom)