Lugha - Language
- kijerumani – German
- Kiswahili – Swahili
- kiingereza – English
- kihispania – Spanish
- kichina – Chinese
- kireno – Portuguese
- kifaransa – French
- kiswede – Swedish
- kinorway – Norwegian
- Kifini – Finnish
- kialbania – Albanian.
- kiitaliano – Italian
- kiarabu – Arabic
- kijapani – Japanese.
- kikorea – Korean
- kihindi – Hindi
mifano ya sentensi – sentence examples.
1. Aakash
anazungumza kihindi – Aaakash speaks Hindu.
2. Ninakwenda
Norway – I am going to Norway.
3. Albania ni
nchi ndogo – Albania is a small country.
4. Sitakwenda Korea
- I won’t go to Korea.
5. Sijui
kifaransa – I don’t know French.
6. Ongea kwa
kiingereza – Speak in English.
7. Nataka gari
la kijapani – I want a Japanese car.
8. China ni
nchi kubwa sana. – China is a very huge country.
9. Mayanja
hatakwenda Ufini - Mayanja is not going to Finland.
QUIZ
1. Sijui kijerumani - _____________
2. Ureno ni nchi kubwa sana -
_____________
3. Ongea kwa kichina -
_________________
4.
Najua kireno - _______________
5. Nataka gari la kiafrika -
_______________