Tuesday, September 10, 2013

FOOD



ENGLISH - SWAHILI

money-pesa/fedha

bear-dubu

all-everything

rent - kodi

chew-tafuna

swallow-meza

refrigerator-jokofu

I don't like - sipendi

take - chukua

eat - kula

;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;

SENTENCES -SENTENSI

1. I can't swallow this meat - Siwezi kumeza hii nyama


2. I hate fighting - sipendi ugomvi


3. I have not paid the rent - Sijalipa kodi

4. take all - Chukua vyote


5. All my money went for food and rent

      - Fedha yangu yote ilitumika kununua chakula na kodi ya nyumba.



6. Bears must eat a lot of food before they hibernate in their caves

   -Dubu hula chakula cha kutosha kabla ya kurudi tena mapangoni mwao.

7. Chew your food and don't swallow it! - Tafuna chakula na usimeze.

8. Chinese food - Chakula cha kichina

9. Freeze the leftover food - Weka chakula kilichobaki kwenye jokofu.


10. I hate Mexican food - Sipendi chakula cha ki-mexico


11. I love French food - Napenda chakula cha kifaransa.


EXERCISE - ZOEZI

1.  I love Mexican food - ..............................................................

2.  I hate French food - ..................................................................

3.  Take the Chinese food - ...............................................................