SWAHILI – ENGLISH
Redio – radio
Runinga – Television (T.V)
Kipaza sauti – Microphone.
Waya – cable
Umeme – Electricity.
Mfupi - short
-------------------------------------------------------------------
Naomba redio – Give me a radio
Huu waya ni mrefu – This wire is long.
Ninatumia kipaza sauti – I am using a microphone.
Ninaangalia runinga – I am watching TV.
Nitanunua waya – I will buy a cable.
-------------------------------------------------------------------
EXERCISE
Naomba waya – ……………………………………………
Huu waya ni mfupi – …………………………………………
Ninatumia redio – ……………………………………………
Nitanunua redio – ……………………………………………
Nitanunua kipaza sauti – ………………………………………